Mwani ni zao linalolimwa kwenye maji chumvi (baharini) na kwa kiasi kidogo kwenye makutano ya maji baridi na maji chumvi (brackish water). Kuna familia na jamii mbalimbali za mwani ikiwemo spirulina, Dunaliela na Carteria.
Zanzibar husema, mwani ni zawadi ya bahari. Hii inatokana na uwepo wa mwani kiasili kwenye bahari.
Nchini Tanzania Kilimo cha mwani kinazidi kuwa muhimu kwa uchumi na mapato mbadala, hasa kwa wanawake katika vijiji vingi vya pwani IUCN
Hivyo kwa
watu wanaopatikana katika ukanda wa pwani kama vile Tanga, Zanzibar, pwani, Dar
es salaam, Lindi au Mtwara wanayofursa kubwa ya kuwekeza katika kilimo hiki cha
mwani na kukusa uchumi na mapato kiujumla.
Comments
Post a Comment